UFUNGUZI WA MASHINDANO YA CoED INTERBEDS
Kaimu Rasi Ndaki ya Elimu Dkt. Abdallah Seni amefungua mashindano ya CoED Interbeds Competition Mashindano ambayo yanajumuisha Programu mbalimbali zinazotolewa Ndaki ya Elimu lengo ikiwa ni kuimarisha Afya lakini pia kuendeleza vipaji vya Wanafunzi.
Mashindano haya yanajumuisha Mpira wa Miguu, Mpira wa wavu, Mpira wa Pete, Mpira wa Kikapu n.k
Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma wakiongozwa na Rais Tryphone Augustine Mwinuka wameshiriki ufunguzi huu, mashindano kama haya yataendelea kwenye Ndaki, Shule Kuu na Taasisi zilizopo hapa Chuon