UDOM YAWANOA WANAFUNZI WA SHAHADA ZA UZAMIVU
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia Kurugenzi ya Shahada za Uzamili, wameandaa mafunzo ya wiki moja kuanzia Disemba 16 hadi 20, 2024, yenye lengo la kuwajengea uwezo....Read More
Processing...
All Posts |
---|
UDOM YAWANOA WANAFUNZI WA SHAHADA ZA UZAMIVUChuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia Kurugenzi ya Shahada za Uzamili, wameandaa mafunzo ya wiki moja kuanzia Disemba 16 hadi 20, 2024, yenye lengo la kuwajengea uwezo....Read More |
MITI 6,500 YAPANDWA KAMPENI YA KUKIJANISHA UDOMChuo kikuu cha Dodoma kimepanda miti 6,500 ikiwa ni mwendelezo wa Kampeni ya Kukijanisha Chuo Kikuu cha Dodoma ambayo ilihusisha upandaji wa miti katika....Read More
|
UDOM KUSHIRIKI MASHINDANO KENYAKaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Prof. Razack Lokina, leo tarehe 13 Desemba, 2024 amewaaga Wanafunzi 57 ambao wanatarajia kushiriki Mashindano....Read More
|
UDOM YAADHIMISHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIAChuo Kikuu cha Dodoma kupitia Shule Kuu ya Sheria kimeadhimisha siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia ambapo kongamano hilo lilihusisha wanafunzi kutoka Shule Kuu ya....Read More |
UDOM YANG`ARA TUZO ZA UANDAAJI BORA WA HESABUChuo Kikuu cha Dodoma kimeibuka Mshindi wa Tatu katika kundi la Taasisi za Elimu ya Juu kwa uandaaji wa Hesabu bora kwa mwaka 2023. |
UDOM WAPATA MAFUNZO KUHUSU HATAZA NA HATIMILIKIWahadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Novemba 25, 2024 wameanza kupatiwa semina ya hataza (patent) pamoja na alama za biashara na huduma, kutoka kwa Wakala wa....Read More |
MRADI WA HEET WATOA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MIRADI YA UJENZI UDOMTimu ya wataalamu wa Ujenzi, Usalama wa Mazingira na Jamii, Ununuzi na Ufuatiliaji kutoka Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia (WyEST) imetoa mafunzo kwa timu ya....Read More |
PROF. KUSILUKA AWAASA WANAFUNZI UDOMMakamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Prof. Lughano Kusiluka amewapongeza na kuwaasa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na UDOM mwaka wa masomo 2024/25 kuzingatia....Read More |
CHUO KIKUU CHA DODOMA KUSHIRIKIANA NA URUSIChuo Kikuu cha Dodoma Leo tarehe 29 Oktoba 2024 kimeingia makubaliano ya ushirikiano na Chuo Kikuu cha Samara cha Urusi; Katika masuala ya Ufundishaji, Utafiti na....Read More |
LUGHA ITUMIKE KUIMARISHA UHUSIANO KATI YA TANZANIA NA CHINABalozi wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian ametoa wito juu ya matumizi ya lugha ya Kiswahili na Kichina katika kuimarisha uhusiano kati ya....Read More
|
HOSPITALI YA BENJAMIN KWA USHIRIKIANO NA CHUO KIKUU CHA DODOMA KUANZA UJENZI WA KITUO CHA UMAHIRI CHA MAFUNZO NA UPANDIKISAJI FIGOMkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Prof. Abel Makubi na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka kwa pamoja wametembelea Makao....Read More |
WATAALAMU UDOM KUSHIRIKIANA NA CHUO KIKUU CHA IDAHO MAREKANI KUFANYA TAFITI ZA KISAYANSIWajumbe kutoka Chuo Kikuu cha Idaho nchini Marekani wamekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tarehe 21 Oktoba, 2024 yenye lengo la kuanzisha....Read More
|
UDOM MWENYEJI KAMPENI YA MTI WANGU BIRTHDAY YANGUMkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule tarehe 18 Oktoba, 2024 amezindua kampeni iliyopewa jina la "Mti Wangu Birthday Yangu"....Read More
|
HEET YAWEZESHA MAFUNZO YA UFUNDISHAJI KIDIGITALI UDOMMradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) umewezesha utoaji wa mafunzo ya ufundishaji kwa njia ya Mtandao kwa Wahadhiri na Wataalamu wa TEHAMA wa Chuo Kikuu....Read More |
CRDB YAJA NA MWAROBAINI WA USAJILI VYUONIBenki ya CRDB kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu wamewawezesha wanafunzi wa Vyuo....Read More
|
UDOM YAPONGEZWA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJAKatika kusherehekea Wiki ya Huduma kwa Wateja, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wamekipongeza Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kuwa moja kati ya wateja bora wa....Read More |
UDOM KUSHIRIKIANA NA INDIA KUBORESHA ELIMUChuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na serikali ya India wamekubaliana kushirikiana katika kuhakikisha kwamba wanaboresha elimu inayotolewa kwa wanafunzi wa UDOM. |
UTETEZI WA PhD UDOM WAANZA KUFANYIKA KWA NJIA YA MTANDAOKwa mara ya kwanza tarehe 27 Septemba, 2024 Chuo Kikuu cha Dodoma kimeanza kufanya utetezi wa PhD kwa njia ya mtandao na Bw. Netho Ndilitho kutoka Ndaki ya Biashara na....Read More |
MAAFISA MAWASILIANO NA WAANDISHI WA HABARI WAASWA KUWEKEZA KWENYE MAWASILIANO YA KISAYANSIMakamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Prof. Lughano Kusiluka amewasilisha mada kuhusu Mawasiliano ya kisayansi “ Science Communication” akiwataka Maafisa....Read More |
UDOM KIDEDEA TUZO YA TAASISI BORA NA MAHIRI KUTATUA KERO ZA WANANCHIChuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetangwazwa mshindi wa tuzo ya Taasisi bora za Serikali yenye muitikio wa haraka na mwajibikaji kwa jamii hasa katika....Read More
|
WAZIRI WA ELIMU ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA KAMPASI YA UDOM NJOMBEWaziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ( Mb) tarehe 20 Septemba, 2024 ametembelea eneo la ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma Kampasi ya Njombe lililopo....Read More |
UDOM YASAINI HATI YA MAKUBALIANO NA KITUO CHA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKAChuo Kikuu cha Dodoma kwa kushirikiana na Kituo cha Urithi wa Ukombozi Bara la Afrika kilichopo chini ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo tarehe 12 Septemba, 2024....Read More |
WAKANDARASI MIRADI YA UJENZI YA HEET UDOM WAASWAMkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amewataka Wakandarasi walioshinda Zabuni ya Ujenzi wa Majengo ya Chuo Kikuu cha Dodoma kupitia Mradi wa....Read More
|
UDOM WATOA MAFUNZO YA SARATANI YA MACHO GEITAWataalamu wa tiba za binadamu toka Shule Kuu ya Tiba na Afya ya Kinywa Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kushirikiana na Shirika la Kimarekani la Conquer Cancer wametoa mafunzo kwa wahudumu wa afya wa....Read More |
UDOM YASHIRIKI KIVITENDO WIKI YA UTUMISHI WA UMMAChuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) ni miongoni mwa Taasisi za....Read More |
VIONGOZI WAPYA UDOSO 2024/25 WAANZA MAFUNZO YA UONGOZI KIBAHAViongozi wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma wameanza mafunzo ya Uongozi ambayo yanayofanyika katika Shule Kuu ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere (Mwl.....Read More |
KUSILUKA AWATAKA WATAALAMU WA MAZINGIRA UDOM KUREJESHA UOTO WA ASILI DODOMA.Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Prof. Lughano Kusiluka amewataka wataalamu wa....Read More
|
UDOM YAZINDUA KONGAMANO LA KWANZA LA KISAYANSI LA AFYAChuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) kupitia Shule Kuu ya Uuguzi na Afya ya Jamii na Shule Kuu ya Tiba na Afya ya Kinywa, kimezindua Kongamano la Kwanza la Kisayansi la Afya....Read More |
WAZIRI MKUU AVUTIWA NA UBUNIFU UDOMWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, amevutiwa na ubunifu uliofanywa na Chuo Kikuu cha Dodoma kwenye Maadhimisho ya Kitaifa....Read More |
CHUO KIKUU CHA DODOMA KINASHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU TANGAChuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kimeendelea kuwa kivutio kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Elimu Tanga, yanayoendelea sambamba na maonesho ya Elimu, Ubunifu na Teknolojia,....Read More |
UDOM YAPIMA AFYA BURE CHAMWINOChuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia Shule Kuu ya Tiba na Afya ya Kinywa pamoja na Shule Kuu ya Uuguzi na Afya ya Jamii imezindua zoezi uchunguzi wa afya na kuongeza ufahamu wa umuhimu....Read More |
PRE-CONFERENCE FUN RUN FOR FIRST UDOM SCIENTIFIC CONFERENCE ON HEALTH ( USCHe)On May 25th, a 10KM and 5KM fun run kicked off the first UDOM Scientific Conference on Health (USCHe 2024). Starting and ending at Chimwaga, the run involved UDOM staff,....Read More |
UDOM YAIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA TEHAMA YA HUAWEI TANZANIA.Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeshinda Mashindano ya Kitaifa ya TEHAMA ya HUAWEI Tanzania kwa kutoa washindi 7 kati ya 12 waliofikia hatua ya fainali.....Read More |
WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU WANUFAIKA NA MRADI WA HEETIkiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET), Chuo Kikuu cha Dodoma kimetoa msaada wa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya....Read More |
WAFANYAKAZI UDOM WASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI DODOMAWafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka wameshiriki Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo....Read More |
DPP AWANOA WANAFUNZI WA SHERIA UDOMMkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP) Bw. Sylvester A. Mwakitalu, amewaasa wanafunzi wanaosoma Sheria Chuo Kikuu Cha Dodoma kupinga vikali vitendo vya rushwa wakati wa....Read More |
KAMATI YA BARAZA YA MILIKI YATEMBELEA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO UDOMKamati ya Baraza ya Miliki ya Chuo Kikuu cha Dodoma, imefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Chuo ikiwemo ukarabati wa nyumba za....Read More |
BODI YA HOSPITALI YA CHUO KIKUU CHA DODOMA YAVUTIWA NA UJENZI WA JENGO LA VIPIMO VYA MIONZIBodi ya Hospitali ya Chuo Kikuu cha Dodoma, imefanya ziara ya kukagua huduma za Hospitali zinazotolewa na Chuo hicho kwa wanafunzi na wananchi wa vijiji jirani....Read More |
KAMATI YA BUNGE UGANDA YAVUTIWA NA MIUNDOMBINU UDOMKamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa, ya Bunge la Uganda imeipongeza Serikali ya Tanzania kwa uwekezaji mkubwa iliyofanya katika ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma,....Read More |
UNESCO YAWAFIKIA VIJANA UDOMKatika kuhakikisha Vijana wanamaliza safari yao ya masomo bila vikwazo, Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni- UNESCO, kupitia mradi wake wa Haki....Read More |
WANATAALUMA UDOM WAJENGEWA UWEZO KATIKA KUANDIKA MIRADI, MACHAPISHO NA TAFITIChuo Kikuu cha Dodoma kupitia Idara ya Jiografia na Stadi za Mazingira tarehe 25 Machi 2024 kimeanza mafunzo ya siku mbili ya kuwajengea uwezo wanataaluma na watafiti....Read More |
WANAFUNZI UDOM WATOA MISAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO HANANGWanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma kitengo cha Udhibiti wa Maafa wametoa misaada ya kibinadamu ikiwemo nguo,taulo za kike na fedha taslimu kwa waathirika wa mafuriko....Read More |
MRADI WA HEET UDOM WAWEZESHA UHAMASISHAJI MASOMO YA SAYANSI KWA WATOTO WA KIKEChuo Kikuu cha Dodoma kupitia....Read More |
VIONGOZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA WAHIMIZWA KUZINGATIA MIONGOZO KATIKA KUFANYA MAAMUZIMakamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka, amewataka viongozi wa chuo hicho kuzingatia miongozo, kanuni, sheria na taratibu katika utendaji kazi wao....Read More |
UDOM INTERNATIONAL STUDENTS COLLOQUIUMOn the 9th of March 2024, The University of Dodoma organized an International Students Colloquium with the primary objective of promoting communication between....Read More |
UDOM YATOA ELIMU YA MATUMIZI YA MAKTABAKurugenzi ya Huduma za Maktaba Chuo Kikuu cha Dodoma katika kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani tarehe 8 Machi, 2024 imeungana na wanawake wengine Duniani....Read More |
UDOM WATOA MSAADA BUIGIRI WASIOONAKuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2024, siku ya tarehe 6 Machi, 2024, watumishi wanawake wa Chuo Kikuu cha Dodoma wametembelea Shule ya Msingi Buigiri....Read More |
|
UDOM YAPIGA HATUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA HEET KATIKA MATUMIZI YA TEHAMAChuo Kikuu cha Dodoma kimepiga hatua kubwa katika utekelezaji wa matumizi ya TEHAMA kupitia mradi wa HEET ambapo asilimia 90 ya utekelezaji imekamilika. |
A VISIT TO UDOM BY THE MEMBERS OF CANADA-AFRICA PARLIAMENTARY ASSOCIATION (CAAF)On 21st February 2024 The University of Dodoma was graced to have a delegation of the Members of the Canada-Africa Parliamentary Association (CAAF) whose mission was....Read More |
HOSPITALI YA UDOM YAPONGEZWA KWA KUWA CHANZO CHA UCHUJAJI DAMU KANDA YA KATIKaimu Mkurugenzi Idara ya Tiba Wizara ya Afya Dkt. Mwinyikondo Juma Amir aliyemwakilisha Katibu Mkuu Wizara ya Afya ameipongeza Hospitali ya Chuo Kikuu cha Dodoma na....Read More |
UDOM KUIMARISHA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI WA HISABATI NA MASOMO YA SAYANSI-KIGOMAChuo Kikuu cha Dodoma kimeanza kutoa mafunzo ya siku nne kwa Walimu wanaofundisha Hisabati na Masomo ya Sayansi katika Wilaya ya Kasulu Mkoa wa Kigoma kupitia mradi....Read More |
UDOM WAZINDUA BARAZA LA TANO LA WAFANYAKAZIChuo Kikuu cha Dodoma kimezindua Baraza la Tano la Wafanyakazi. Uzinduzi huo wa Baraza |
UDOM YASHIRIKI KITOFAUTI KIKAO KAZI CHA NNE CHA SERIKALI MTANDAO eGAWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene(Mb), leo ametembelea Banda la Chuo Kikuu cha Dodoma, wakati wa....Read More |
UDOM KINARA MASHINDANO YA USALAMA MITANDAONI "CYBER CHAMPIONS"Chuo Kikuu cha Dodoma kimeibuka Mshindi wa Kwanza katika Shindano la Tano la Usalama Mtandaoni 2023/24 "Cyber Champions", linaloratibiwa na Mamlaka ya....Read More |
UDOM YAADHIMISHA MIAKA 60 YA MUUNGANO KWA KUPANDA MITIJumuiya ya Chuo Kikuu cha Dodoma imeaswa kutunza miti iliyopandwa ili kuendana na lengo la kukijanisha Dodoma. Rai hiyo imetolewa leo tarehe 27 Januari 2024, na Mkuu wa....Read More |
DUWASA WAAGIZWA KUHARAKISHA UPATIKANAJI WA MAJI UDOMWaziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), ameiagiza Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka jijini Dodoma (DUWASA), kuharakisha upatikanaji wa Maji Chuo Kikuu cha Dodoma,....Read More |
KUSILUKA AGUSWA NA USHINDI MNONO WA UDOM KWENYE MASHINDANO YA "TUSA" TANGAMakamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha....Read More |
SERIKALI YA WANAFUNZI (UDOSO) YANOLEWA KIMADILIViongozi wa serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma wameaswa kutimiza wajibu wao kwa kuzingatia maadili, nidhamu na uwajibikaji. |
CHUO KIKUU CHA DODOMA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA CHUO KIKUU CHA UUGUZI RUTGERS CHA NCHINI MAREKANIMakamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka, leo amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Chuo Kikuu cha uuguzi Rutgers cha nchini Marekani,....Read More |
UDOM KUJENGA KAMPASI NJOMBEChuo kikuu cha Dodoma(UDOM) kinatarajia kufungua kampasi mkoani Njombe. |
UDOM KUBORESHA UZALISHAJI WA VIAZI VIKUU KUSINIWatalaamu toka Idara ya Bailojia ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wanatarajia kufanya utafiti wa kuwezesha matumizi ya Teknolojia katika kuboresha uzalishaji wa viazi....Read More |
UDOM YANG`ARA TUZO ZA HUAWEIChuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimenga’ra kwa kutoa washindi watano katika tuzo za programu ya kuinua vipaji katika maendeleo ya teknolojia kwa vijana ijulikanayo....Read More |
KUSILUKA AFURAHISHWA NA MAFUNZO KWA VITENDO YANAYOTOLEWA KWA WANAFUNZI WA UDAKTARI IRINGAMakamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka, ametembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa na kufanya mazungumzo na Mganga Mfawidhi Dkt.Alfred Mwakalebela na wanafunzi wa....Read More |
DAWATI LA JINSIA UDOM LAASWA KUONGEZA UMAKINIDawati la Jinsia la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) limeaswa kuongeza umakini katika utekelezaji wa majukumu yake ya kutoa haki na usimamizi wa maswala ya Ushauri huo....Read More |
MRADI WA HEET WATOA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA VIHATARISHITaasisi za Elimu ya juu nchini zinazotekeleza mradi wa Mageuzi ya kiuchumi katika Elimu ya Juu (HEET) zimetakiwa kutimiza malengo ya mradi na kuhakikisha mradi huo unatekeleza kwa wakati....Read More |
CHUO KIKUU CHA DODOMA KUANZISHA KAMPASI MPYA NJOMBEUongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, leo umekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Mkoa wa Njombe, kwa lengo la kuanza ujenzi wa Kampasi Mpya, chini ya mradi wa....Read More |
GOVERNMENT TO EXTENT SUPPORT TO RESEARCHERS ON AI INNOVATIONS FOR ECONOMIC AND SCIENTIFIC DEVELOPMENTThe government of the united republic of Tanzania, through the Ministry of Education, Science and Technology promise to extend support to researchers on....Read More |
VIJANA WANOLEWA KATIKA MATUMIZI YA MTANDAONaibu waziri wa wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb) amewataka vijana kuendelea kuelimishana juu ya kulinda usalama wa....Read More |
MRADI WA HEET WAZINOA KAMATI ZA KISEKTA ZA VYUO VIKUUChuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeshiriki kikao cha kitaifa cha Kamati za Ushauri za Kisekta (Industrial Advisory Committee) chini ya Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi....Read More |
VIONGOZI WASISITIZWA KUENDELEA KUWA WAADILIFUMakamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Prof. Lughano Kusiluka amesitiza watumishi wa Chuo kikuu cha Dodoma kuendelea kuwa waadilifu kwenye majukumu yao ya kila siku na....Read More |
UDOM YAJIZATITI KUWA KITOVU CHA TEHAMA TANZANIAMakamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka, leo tarehe 10 Novemba 2023, amefanya uzinduzi wa Programu ya kuwajengea uwezo na kuendeleza ujuzi kwa....Read More |
UDOM YAIBUKA KIDEDEA SHINDANO LA KIMATAIFA LA USALAMA NA ULINZI WA MTANDAOChuo Kikuu cha Dodoma kimeibuka mshindi wa Pili katika shindano la kimataifa la usalama na ulinzi wa mtandao (Cyberlympics Competition 2023) yaliyoratibiwa nchini....Read More |
MWAKA WA KWANZA WASISITIZWA KULINDA MAADILI MEMA NA KUTUNZA HESHIMA YA CHUOMakamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Prof. Lughano Kusiluka amewataka wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza kuzingatia na kuendeleza maadili yote mema na kuwajibika....Read More |
WAFANYAKAZI WAHAMASISHWA KUFANYA MAZOEZI MARA KWA MARA KWA AJILI YA KUIMARISHA AFYA ZAO KATIKA KULETA UFANISI KAZINIMwenyekiti wa Chama cha wafanyakazi THTU tawi la Chuo kikuu cha Dodoma Ndg.Edson Baradyana amewataka wafanyakazi kuweka desturi ya kufanya mazoezi mara kwa mara ili....Read More |
UDOM KUWEZESHA UTALII WA KIMATIBABU TANZANIAChuo kikuu cha Dodoma kinatarajia kuifanya Tanzania kuwa eneo la utalii wa kimatibabu. Hayo yamesemwa tarehe 19 mwezi oktoba, 2023 na makamu mkuu wa chuo kikuu cha....Read More |
MKUU WA CHUO KIKUU CHA DODOMA AFURAHISHWA NA MAENDELEO YA CHUOMkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Mhe. Dkt. Stergomena L. Tax, ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, amesema amefurahishwa na namna Chuo Kikuu cha....Read More |
MKAWE WAWIKILISHI WAZURI WA TAIFAMwakilishi wa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Prof. Justin Ntalikwa amewataka wanafunzi wanaoenda kushiriki mchezo wa mpira wa kikapu Uganda kuwa wawakilishi....Read More |
VIJANA WASISITIZWA KUPENDA MASOMO YA HISABATI NA SAYANSINaibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Utafiti ma Ushauri Elekezi, Prof.Razack Lokina, amependekeza namna bora ya ufundishaji wa masomo ya Hisabati na Sayansi kwa elimu za....Read More |
WATAFITI WASISITIZA UMUHIMU WA LUGHA ZA ASILIA KWA JAMIIMakamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka, amezitaka jamii za kiafrika na hasa wale wanao tumia lugha za asili kuendelea kuthamini lugha zao na hasa....Read More |
UDOM KIVUTIO UZALISHAJI BIDHAA ZA CHAKULAWaziri wa nchi ofisi ya Rais Tamisemi Mhe.Angellah Kairuki (Mb) amewaelekeza wadau kuunga mkono jitihada za Chuo Kikuu cha Dodoma katika uzalishaji wa....Read More |
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ELIMU, UTAMADUNI NA MICHEZO WAVUTIWA NA UWEKEZAJI MKUBWA UDOMKamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo, tarehe 10/8/2023 ilitembelea Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa, pamoja....Read More |
UDOM YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA MAONESHO YA NANENANE 2023Chuo Kikuu cha Dodoma kimeibuka mshindi wa Kwanza Taasisi za Elimu ya Juu katika Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Kati katika Viwanja vya vya Nzuguni Dodoma. |
MAONESHO YA NANENANE DODOMAMkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Serukamba akipata maelezo kutoka kwa waonyeshaji Banda la Chuo Kikuu cha Dodoma katika maonyesho ya Nanenane kanda ya kati....Read More |
VISIT TO UDOM BY THE UNIVERSITY OF ALBERTA AND BROCK UNIVERSITYOn 1st August 2023 Prof. Florence Glanfield (Vice-Provost of the University of Alberta)(Canada) Prof. Joyce Mgombelo from Brock University (Canada) and Dr. Andrew Binde....Read More |
THE UNIVERSITY OF DODOMA HOSTS HISTORIC ICRC IHL MOOTCOURT COMPETITIONThe national round of the International Humanitarian Law (IHL) moot court competition recently concluded at the University of Dodoma, Tanzania, marking a significant....Read More |
CHUO KIKUU CHA DODOMA MWENYEJI WA MASHINDANO YA SHERIA YA UTU ( HUMANITARIAN LAW)Kwa mara ya kwanza katika historia ya Mashindano ya Sheria za Utu wakati wa Vita (International Humanitarian Law) yamefanyika katika Chuo Kikuu cha Dodoma |
WATAALAMU WAASWA KUTUMIA TEKNOLOJIA KUSUKUMA MBELE MAENDELEOMakamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka , ameshauri Teknolojia zote zinazogunduliwa ziwe zinauwezo wa kuendelezwa kwa maendeleo ya Taifa. |
VIONGOZI UDOSO WATAKIWA KUWA KIPAUMBELE KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANAFUNZIRasi wa Ndaki ya insia na Sayansi za Jamii Prof. Albino Tenge, amewataka Viongozi wa serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, kuwa kipaumbele cha kutatua Changamoto....Read More |
WAHITIMU WAJITOKEZA KWA WINGI KUTEMBELEA BANDA LA UDOMWahitimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma wamejitokeza kwa wingi kutembelea Banda la UDOM katika maonyesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa SABASABA, ambapo kuna dawati maalum la....Read More |
KASI YA UKUAJI UDOM YAWAVUTIA WANANCHI MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA ( SABASASABA)Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Mipango, Fedha na Utawala, Prof. Wineaster Anderson, amefurahishwa na mahudhurio ya Wananchi wanaotembelea Banda la maonyesho....Read More |
UDOM WAPONGEZWA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA (SABASABA)Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha, amepongeza uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kijipanga vyema katika kuhudumia wananchi kwenye....Read More |
KASI YA UKUAJI UDOM YAWAVUTIA WANANCHI MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA (SABASABA)Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Mipango, Fedha na Utawala, Prof. Wineaster Anderson, amefurahishwa na mahudhurio ya Wananchi wanaotembelea Banda la maonyesho....Read More |
UDOM YAPONGEZWA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA (SABASABA)Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha, amepongeza uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kijipanga vyema katika kuhudumia wananchi kwenye....Read More |
WANANCHI WAHIMIZWA KUTEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA SABASABAMakamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Dodoma(UDOM), Prof Lughano Kusiluka, amewahimiza wananchi kutembelea maonesho ya 47 ya Kimataifa SABASABA, na kujionea shughuli mbalimbali....Read More |
UDOM HOSTS VISITORS FROM PURDUE UNIVERSITYThe University of Purdue recently visited the University of Dodoma (UDOM) to provide financial year closing support for the Tanzania SEL project in 2022/2023. |
BONANZA LA WAFANYAKAZI CHUO KIKUU CHA DODOMAWanafunzi wamehimizwa kujiepusha na vitendo vya udanganyifu katika mitihani kitendo kinachoweza kupelekea kufukuzwa chuo. |
SEMINA ELEKEZI KWA AJILI YA MITIHANI YA MUHULA WA PILI-IDSWanafunzi wamehimizwa kujiepusha na vitendo vya udanganyifu katika mitihani kitendo kinachoweza kupelekea kufukuzwa chuo. |
BONANZA LA MICHEZO KWA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMUNaibu Makamu Mkuu wa Chuo Mipango, Fedha na Utawala Prof.Wineaster Anderson ameshiriki katika Bonanza la michezo kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu Chuo Kikuu cha....Read More |
DISSEMINATION OF POLICY BRIEF FOR TANZANIA SEL PROJECT AT MoESTUDOM research team has made the dissemination of the policy brief about Tanzania Sel Project at the Ministry of Education, Science and Technology (MoEST) |
UNITE PARLIAMENTARIANS WAVUTIWA NA CHUO KIKUU CHA DODOMAUongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), umeanza mazungumzo na Shirika lisilokuwa la kiserikali la UNITE Parliamentarians Network for Global Health ili kuanzisha....Read More |
UDOM SCHOOL OF LAW HOSTS AN INTERDISPLINARY TRAINING ON INTERNATIONAL HUMANITARIAN LAWThe University of Dodoma , school of Law students, were granted a unique opportunity to engage with distinguished experts hailing from various renowned institutions....Read More |
THE THIRD RIW INSPIRES THE VICE CHANCELLOROn 20th June, 2023, The Vice Chancellor of The University of Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka, launched the 3rd Research and Innovation Week (RIW) at the University level.....Read More |
TUME YA UCHAGUZI UDOSO 2023/24 YAPONGEZWAMakamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Prof. Lughano Kusiluka ameipongeza Tume ya Uchaguzi wa Serikali ya Wanafunzi UDOSO-EC kwa kazi nzuri ya kufanikisha uchaguzi wa....Read More |
|
CNMS DAY 2023The highlights from the Celebration of the CNMS Day 2023 at the College of Natural and Mathematical Sciences where the Guest of Honor was the Deputy Minister for Agriculture Hon. |
CNMS OUTREACH PROGRAMCollege of Natural and Mathematical Sciences (CNMS) has organized the Science Day which will take place on 16th June 2023 with the theme “Science and Technology....Read More |
UDOM YASHIRIKI CAPITAL CITY MARATHONMenejimenti, Wafanyakazi na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wameshiriki Capital City Marathon ambayo imefanyika Chuo Kikuu cha Dodoma ikiwa ni msimu wake wa nne, mbio....Read More |
COMMEMORATION OF DIETICIANS WEEK- SoNPHOn 9th June, 2023 the School of Nursing and Public Health through the Department of Public Health and Community Nursing Commemorated the Peak dieticians week which started on 5th to 9th June,....Read More |
UDOM LAUNCHES THE DOCTORAL SEMINARS ROOMSOn 8th June, 2023, The Vice Chancellor Prof. Lughano Kusiluka graced an occasion of the launching of Doctoral Seminars Room at School of Nursing and Public Health under....Read More |
UDOM LAUNCHES IACs UNDER HEET PROJECTn 6th June, 2023, The University of Dodoma launches its Industrial Advisory Committees (IACs) under Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project. |
CHIEF REPRESENTATIVE JICA TANZANIA PAYS A COURTESY VISIT TO UDOMOn 6th June, 2023, The Chief Representative JICA Tanzania Mr. ARA Hitoshi, paid a courtesy visit to the Vice Chancellor Prof. Lughano Kusiluka at the University of....Read More |
UDOM YASHIRIKI KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANILeo 5 Juni, 2023 ni kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo yamefanyika Mkoani Dodoma katika Soko la Machinga Complex na Mgeni Rasmi alikuwa ni Makamu....Read More |
ACADEMIC ORIENTATION WORKSHOP TO TUTORIAL ASSISTANTOpening of the two days Academic Orientation Workshop to tutorial Assistant in the School of Nursing and Public Health ( SoNPH) |
MAFUNZO YA UONGOZI UDOSO 2023/24 YAKAMILIKA PWANI-KIBAHAMafunzo ya uongozi kwa serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma ( UDOSO 2023/24) yamekamilika tarehe 3 Juni 2023 katika Shule kuu ya Uongozi ya Mwl.Julius Nyerere....Read More |
|
MAFUNZO KWA VIONGOZI WAPYA WA UDOSO 2023/24 KIBAHA-PWANIMenejimenti ya Chuo kikuu cha Dodoma imewezesha mafunzo ya uongozi kwa viongozi wapya wa serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOSO 2023/24) ambayo yanafanyika katika Shule Kuu ya Uongozi....Read More |
UDOM YATOA ELIMU YA MAZINGIRA-NTUKYAChuo kikuu cha Dodoma kupitia Idara ya Jiografia na Mazingira Ndaki ya Insia na Sayansi ya Jamii inaadhimisha siku ya Mazingira Duniani kuanzia tarehe 29 Mei 2023 mpaka....Read More |
UAPISHO WA VIONGOZI WATEULE UDOSO 2023/24Siku ya leo tarehe 31/5/2023 umefanyika uapisho wa viongozi wateule Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma 2023/24 ngazi ya Uraisi, Makamu wa Rais, Magavana,....Read More |
CAREER FAIR CI-UDOMConfucius Institute at the University of Dodoma (CI-UDOM) organized a Career Fair on 27th May, 2023 which aimed at connecting students with prospective recruiters so as....Read More |
KAMPENI ZA UCHAGUZI UDOSO 2023/24 ZAFUNGULIWALeo tarehe 26 Mei, 2023 Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka amefungua rasmi Kampeni za Uchaguzi wa Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dodoma. |
UDOM-SoNPH WATOA HUDUMA KWA JAMII WILAYANI CHEMBAAmidi wa Shule kuu ya Uuguzi na Afya ya Jamii Dkt. Stephen Kibusi leo tarehe 21/5/2023 ameongoza zoezi la kutoa huduma kwa jamii wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma kwa....Read More |
|
MTENDAJI MKUU WA BENKI YA NMB ATEMBELEA UDOMMtendaji Mkuu wa Benki ya NMB-TANZANIA Bi.Ruth Zaipuna ametembelea Chuo Kikuu cha Dodoma tarehe 19 Mei, 2023 kwa lengo la kuzungumza na Chuo kuhusu fursa....Read More |
THE DISSEMINATION MEETING OF TANZANIA SEL PROJECT IN MOROGOROThe LASER Research Team Constituted of the UDOM faculty engages stakeholders in the second dissemination meeting of the Tanzania Social and Emotional Learning Project in....Read More |
RESEARCH AND INNOVATION WEEK- SoMD & SoNPHResearch and Innovation Week School of Nursing and Public Health ( SoNPH) and School of Medicine and Dentistry ( SoMD) |
KONGAMANO LA WANAWAKE NDAKI YA ELIMUSiku ya leo tarehe 7/5/2023 limefanyika kongamano la wanawake Ndaki ya Elimu Chuo Kikuu cha Dodoma lilikwenda Kwa jina la "UDOM CoED Ladies Talk" |
UDOM YASHIRIKI KONGAMANO LA KUMBUKIZI YA MIAKA 101 YA BABA WA TAIFAKongamano la kumbukizi ya miaka 101 ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere limefanyika katika Ukumbi wa Chimwaga, Chuo Kikuu cha Dodoma tarehe 06 Mei,....Read More |
RESEARCH AND INNOVATION WEEK-CNMSResearch and Innovation Week at the College of Natural and Mathematical Science (CNMS ) |
RESEARCH AND INNOVATION WEEK - CoEDResearch and Innovation Week at the College of Education (CoED) |
RESEARCH AND INNOVATION WEEK- CIVEResearch and Innovation Week College of Informatics and Virtual Education ( CIVE) |
RESEARCH AND INNOVATION WEEK- CoESEResearch and Innovation Week College of Earth Science and Engineering ( CoESE) |
WIKI YA UTAFITI NA UBUNIFU SIKU YA PILI CHSS & IDSWiki ya Utafiti na Ubunifu inaendelea Chuo Kikuu cha Dodoma na leo tarehe 3/5/2023 imefanyika katika Ndaki ya Insia na Sayansi za Jamii pamoja na Taassisi ya Taaluma za....Read More |
WARSHA YA KUWAONGEZEA UJUZI WASIMAMIZI WA WANAFUNZI WA SHAHADA ZA JUUMakamu Mkuu wa Chuo cha Dodoma Profesa Lughano Kusiluka ametoa wito kwa wasimamizi wa wanafunzi wanaosoma Shahada za Juu kuitumia vema warsha ya kuwaongezea ujuzi....Read More |
ZOEZI LA KUGAWA VIFAA TIBAWaziri wa Afya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. @ummymwalimu ameongoza zoezi la kugawa....Read More |
UDOM RESEARCH AND INNOVATION WEEKThe University of Dodoma has launched Research and Innovation Week with great enthusiasm, where students and staff members of the School of Law, College of Business....Read More |
UDOM YASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI DODOMAMenejimenti na Wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wameshiriki katika Sherehe za Mei Mosi zilizofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma. Sherehe hizo....Read More |
ZOEZI LA KUHAMASISHA WANAFUNZI WA KIKE KUPENDA SAYANSI LINAENDELEAMwendelezo wa uhamasishaji Kwa Wanafunzi wa kike Shule za Sekondari Dodoma kusoma masomo ya sayansi. Shughuli hii inatekelezwa kupitia mradi WA HEET katika chuo Kikuu....Read More |
KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA UBUNIFU DODOMAChuo Kikuu cha Dodoma kimekuwa kivutio kwa viongozi na wananchi kupitia bunifu mbalimbali za teknolojia katika maadhimisho ya wiki ya ubunifu kitaifa yaliyofanyika....Read More |
WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA ATEMBELEA UDOMWaziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Faustine Mkenda(Mb) ametembelea Chuo Kikuu cha Dodoma leo tarehe 28 Aprili, 2023. Mhe. Waziri aliongozana na....Read More |
BONANZA LA MICHEZO CoEDNaibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Utafiti na Ushauri Elekezi Prof. Razack Lokina tarehe 26/4/2023 alikuwa ni mgeni rasmi kwenye Bonanza la Michezo lililojumuisha....Read More |
MAONESHO YA WIKI YA UBUNIFU TANZANIA 2023Chuo Kikuu cha Dodoma kinashiriki Maonesho ya Wiki ya Ubunifu Tanzania 2023, maonesho haya yanafanyika Uwanja wa Jamhuri- Dodoma |
UDOM KUSHIRIKI KAMPENI YA HUDUMA YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIAWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) amekipongeza Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kuwa mwenyeji wa Kampeni ya Huduma ya Msaada wa....Read More |
BARAZA LA CHUO KIKUU CHA DODOMA LAZINDULIWAKikao cha uzinduzi wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma kimefanyika Leo tarehe 25 Aprili, 2023. Katika kikao hicho, wajumbe walimchagua Bi. Suzan P. Mlawi kuwa Makamu....Read More |
THE DISSEMINATION MEETING OF TANZANIA SEL PROJECT IN ZANZIBARThe LASER Research Team Constituted of the UDOM faculty engages stakeholders in the dissemination meeting of the Tanzania SEL Project in Zanzibar, on 24th April 2023 the....Read More |
UDOM YAANZA KUHAMASISHA WANAFUNZI WA KIKE KUPENDA MASOMO YA SAYANSIChuo Kikuu cha Dodoma kupitia mradi WA HEET kipo kwenye program ya uhamasishaji kwa wanafunzi wa kike waliopo shule za sekondari ili waweze kuyapenda na kuyasoma....Read More |
MAFUNZO KWA WAELIMISHAJI RIKA UDOM YAMALIZIKAShirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kupitia mradi wake wa O3 PLUS, kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma, wamehitimisha mafunzo kwa....Read More |
VISIT TO UDOM BY BELLEVUE COLLEGE IN WASHNGTONOn 17th April, 2023, Prof. Teaessa Chism and Prof. Marilu Bumgardner from Bellevue College in United States visit the University of Dodoma. |
THE TECHNICAL DIRECTOR OF THE LASER PULSE FROM PURDUE UNIVERSITY VISIT UDOMThe Technical Director of the LASER PULSE Coordinated by the Purdue University Dr.Betty Bugusu has made an official visit at the University of Dodoma. She had an....Read More |
HIV/AIDS AND ANTI-CORRUPTION SEMINARHighlights from the College of Education first year students on HIV/AIDS and Anti-Corruption Seminar, which aimed to create awareness and bring positive impact to....Read More |
GUIDANCE AND COUNSELING CAREER DAY 2023On 15 th April, 2023 the College of Natural and Mathematical Sciences (CNMS) conducted a |
UDOSOAC SEMINARThe University of Dodoma Students Organisation Against Corruption (UDOSOAC) held a seminar on corruption where the role of young people in the national fight against....Read More |
UDOM JOGGING DAY 2023Various students from the University of Dodoma, staff and various stakeholders from outside the University attended UDOM Jogging Day 2023, to inspire students to love....Read More |
WORKSHOP ON DATA COLLECTION FOR MONITORING AND EVALUATING ANC & PNC PROJECTWorkshop to build capacity of data collectors for Monitoring and Evaluating the "Quality Improvement of Intergrated HIV, TB and Malaria Serivices during Antenatal and Postnatal Care"....Read More |
UNESCO YATIMIZA AHADI YAKE UDOMShirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kupitia Mradi wake wa O3 PLUS ambao unatekelezwa kwenye vyuo 15 hapa nchini ikiwemo Chuo Kikuu cha....Read More |
DATA ANALYSIS WORKSHOP SoMD & SoNPHHighlights from the Data Training Workshop for the Schools of Medicine and Dentistry (SoMD) as well as School Nursing and Public Health (SoNPH), intended to increase....Read More |
UFUNGUZI WA MASHINDANO YA CoED INTERBEDSKaimu Rasi Ndaki ya Elimu Dkt. Abdallah Seni amefungua mashindano ya CoED Interbeds Competition Mashindano ambayo yanajumuisha Programu mbalimbali zinazotolewa Ndaki ya....Read More |
VICE CHANCELLOR OPENS FOR INTERNATIONAL COLLABORATIONSOn 5th April,2023; The Vice Chancellor of the University of Dodoma Prof. Lughano Kusiluka had a meeting with Ambassador of Indonesia in Tanzania H.E. Prof. Ratlan....Read More |
UDOM VICE CHANCELLOR MEETS JAPANESE AMBASSADOR TO TANZANIAOn 3rd April,2023; The Vice Chancellor of the University of Dodoma Prof. Lughano Kusiluka had a meeting with Japanese Ambassador in Tanzania H.E. Yasushi Misawa in Dar....Read More |
UNIVERSAL ACCEPTANCE DAY 2023The Universal Acceptance Workshop for Software Engineers in Tanzania on Delivering an Inclusive and Multilingual Internet for All |
CGE Modelling on Empowering Women in the Agricultural SectorHighlights from the Technical Workshop for the Consulting Project "CGE Modelling on Empowering Women in the Agricultural Sector " whose Principal....Read More |
Kongamano la Mafunzo ya Lugha ya Alama kwa Wanafunzi wanaosoma Lugha ya Alama Chuo Kikuu cha DodomaTarehe 24/3/2023 Kurugenzi ya Huduma za Wanafunzi Chuo kikuu cha Dodoma imefanya Kongamano la Elimu/ Mafunzo ya Lugha ya Alama kwa wanafunzi wanaosoma Lugha ya Alama....Read More |
Launching of the Court Studio School of LawIn Commemoration of UDOM Law Day,2023 Hon. Dr. Damas D. Ndumbaro (MP) Minister of Constitutional and Legal Affairs officially launched the 2nd Court Studio in the School....Read More |
CELEBRATION OF THE LAW DAYThe highlights from the Celebration of the Law Day at the University of Dodoma where the Guest of Honor was the Minister of Constitutional and Legal Affairs Hon. Dr.....Read More |
Law Day 2023 Mootcourt CompetitionThe University of Dodoma, School of Law held it’s customary Interclass Mootcourt Competition in their esteemed court studios. |
Kueleka Maadhimisho ya Siku ya Sheria ya Shule Kuu ya Sheria Chuo Kikuu cha DodomaTarehe 21/3/2022 Amidi wa Shule kuu ya Sheria Chuo Kikuu cha Dodoma Dkt. Ines Kajiru ameongoza ziara ya utoaji wa Elimu ya Sheria kwa wanafunzi wa Sekondari Ntyuka na....Read More |
MIAKA MITANO YA HUDUMA ZA KUPANDIKIZA FIGOSiku ya leo tarehe 13/3/2023 Hospitali ya Benjamin Mkapa(BMH), Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kushirikiana na Tokushukai Medical Group wameadhimisha miaka mitano tangu....Read More |