ZOEZI LA KUHAMASISHA WANAFUNZI WA KIKE KUPENDA SAYANSI LINAENDELEA


  • 1 year
  • The University of Dodoma

Mwendelezo wa uhamasishaji Kwa Wanafunzi wa kike Shule za Sekondari Dodoma kusoma masomo ya sayansi. Shughuli hii inatekelezwa kupitia mradi WA HEET katika chuo Kikuu cha Dodoma.

Sambamba na uhamasishaji, timu inayopita mashuleni inaendelea kuzitangaza programu mbalimbali zinazotolewa katika Chuo Kikuu cha Dodoma Kwa Shahada ya Kwanza na Stashahada mbalimbali

Karibu UDOM Tukuhudumie

Comments
Send a Comment