UDOM YASHIRIKI UZINDUZI WA SERA YA ELIMU


  • 2 weeks
  • The University of Dodoma

Wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) walishiriki tukio la kihistoria la Uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023, Kama wanavyoonekana katika picha.

Tukio hilo limefanyika jijini Dodoma katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre tarehe 1 Februari 2025 na Mgeni Rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Comments
Send a Comment